
Staa wa Marekani mwenye vipaji vingi, Kimberly Noel Kardashian (pichani) anaweza kufungua kabati mara sita kwa siku na kubadili mavazi, imebainika.
Mtandao mmoja wa Marekani uliandika wikiendi iliyopita kuwa muonekano wa Kim kwa kawaida, hubadili mavazi kuanzia mara nne, tano mpaka sita kwa siku.

“Asubuhi na mchana ni tofauti kama ilivyo jioni na usiku. Anabadili mavazi na muonekano,” uliandika mtandao huo.
No comments:
Post a Comment