Hii ilikuwa ni jana mchana katika
viwanja vya Masabo mjini Kahama ambapo walikuwepo Brother K na sharobaro
wa Kihaya kutoka FUTUHI ya Star TV Pamoja na Chili na Ringo kutoka
Vituko show ya Chanel Ten.
Show hii imeandaliwa na redio kahama FM, na kuwashirikisha watoto pamoja na watu wazima yani show ya kifamilia zaidi.
|
Umati wa watu walioshuhudia show hiyo |
|
Moja kati ya Mchezo waliouonesha wote kwa pamoja |
|
Wadau wa Kahama fm wakiangalia show |
|
Kulikuwa na nyomi si mchezo |
|
Brother K, Chili na Sharo la kihaya |
|
Chili aliyekaa na Ringo anayevizia kwa pembeni wakifanya yao |
No comments:
Post a Comment