Akizungumza na LOST-9FM mdada huyo alisema kuwa amecheza kazi nyingi hivyo hata kama atasisima mwenyewe anaamini kazi yake itafanya vizuri.
Aliongeza kuwa filamu yake hiyo kwa sasa bado hajaiopa jina kwani yupo katika mchakato wa kuangalia wasanii ambao wanaweza kucheza katika kiwango ambacho anahitaji ingawa wapo baadhi ya nyota ambao majina yao yapo kichwani.
“Unajua nimecheza sana filamu za watu hasa ‘Ray’, lakini kwa sasa nahitaji kuisisima mwenyewe na kuonesha uwezo wangu, ingawa naamini iyakuwa nzuri kwa sababu najipaga kuifanya iwe ni moja kati ya kazi zitakazofanya vizuri kimataifa,” alisema.
No comments:
Post a Comment