Anajulikana kwa jina la George aka GNako, msanii anayewakilisha kundi la NAKO 2 NAKO SOLDERS. Hizi ni picha zake za mwaka 2011 na amezitoa kwaajili ya mashabiki wake wote wanaomkubali au unaweza kuingia kwenye facebook yake anatumia jina la George Nako,
Na kwa wale wanaotaka kumtumia maoni pia mnaweza kumcheki kwa mail yake ya acityfinest@gmail.com
No comments:
Post a Comment