mshindi wa freestyle Mbeya
mshindi kutoka zanzibar
washindi wawili kutoka Mwanza kushoto ni Rowland, Ncha kali, Fetty na Kadgo
Rota mshindi wa freestyle zanzibar
washindi wa dar-es-salaam kushoto ni haidari, msangi,haleluya, mafleva na alba one
Hatua ya mwisho katika kumpata mkali wa freestyle Tanzania imefika, ambapo siku ya tatrehe 19 june, jumamosi hii itafanyika show kali ndani ya Coco beach, bila kuwa na kiingilio chochote.njoo ushudie washindi 12 kutoka mikoa mitano tofauti ikiwa ni Mbeya, Zanzibar, Arusha, Mwanza na Morogoro bila kusahau Dar. njoo ushuhudie ladha tofauti kutoka mikoa tofauti juma pili hii ndani ya coco beach BUREEEE
No comments:
Post a Comment