OMOTOLA Jalade ameolewa na kapteni wa ndege aitwaye, Matthew Ekeinde na wamezaa naye watoto wanne.
Ana wafuasi 727, 963 kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook na 75, 893 kwenye Twitter.
Wafuasi hao ni wengi kuliko wa msanii yeyote wa kike nchini Nigeria.
No comments:
Post a Comment