Jun 14, 2012

SOUTH KING T.I.P KUTOKA NA COLLABO KALI NA MKALI ANDRE 3000, YOUNG JEEZY NA KANYE WEST.





Mwezi Septemba tarehe 4 ndo mwezi amabao album ya mkali wa ngoma “ Live Your Life” ft. Mwanadada Riri Rihanna mwezi huo itakuwa ikitoka album yake ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Hip Hop duniani inayoitwa “Trouble Man” ambayo ni album yake ya nane. Akipiga stories na Shade45’s DJ Whoo Kid, T.I kabla alisema kuna ngoma ambayo amefanya na wakali wawili wakali katika game Andre 3000 na Kanye West. Akaongeza kabla haijaisha kuna wasanii wengine wakubwa ambao anategemea kuwashirikisha ni pamoja na Katy Perry, Bruno Mars na Santigold atafanya mpango awe ameshafanya nao mpaka ikikaribia tarehe ya kuachia album ya “Trouble Man” awe ameshamalizakugonga nao kazi.

No comments: