Jun 15, 2012

ROBBY ONE FASHION KUWAKAMATA VIJANA WATANASHATI.


Lileee duka la kijanja linalouza nguo za kijanja nazungumzia ROBBY ONE FASHION limeshusha bonge moja la mzigo kutoka Mamtoni, sasa kuwa mjanja kwa kuwahi vitu vizuri kama viatu, mashati ya kijanja, jeans za jinsia zote, perfume za ukweli, 
Duka lipo Kinondoni Studio kona ya kuelekea Mwananyamala. 
JIPANGE

No comments: