Umati uliojitokeza Viwanja vya Jangwani jana ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alisema wameubatiza na kuwa jina la Chadema Square.
Kijana aliyetajwa kwa jina la utani Mbayuwayu, aliyekihama Chama Cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro akitema cheche ‘Chadema Square’.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekiel Wenje, akitoa ujumbe kwa wapenzi wa…
Umati uliojitokeza Viwanja vya Jangwani jana ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alisema wameubatiza na kuwa jina la Chadema Square.
Kijana aliyetajwa kwa jina la utani Mbayuwayu, aliyekihama Chama Cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro akitema cheche ‘Chadema Square’.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekiel Wenje, akitoa ujumbe kwa wapenzi wa Chadema.
Wazee, viongozi wa Chadema wakisikiliza hotuba mbalimbali.
Bango la mkereketwa wa Chadema.
Wafuasi wa Chadema wakiwa wameweka mikono kichwani, kama ishara ya kukikataa Chama Cha Mapinduzi.
Wageni waalikwa kutoka nchi za Afrika na Ulaya waliofika kwenye mkutano wa Chadema.
Mkereketwa wa Chadema akipuliza Vuvuzela.
Mabango ya wafuasi wa Chadema.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika, akiingia ‘Chadema Square’.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akiwasili mkutanoni.
Mfuasi wa Chadema akisaidiwa baada ya kuanguka kutokana na kusimama kwa muda mrefu.
----
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walifanya mkutano wa kihistoria ambao ulihudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake
Katika mkutano huo wanachama kutoka vyama mbalimbali zaidi ya nchi kumi na sita kutoka nje ya nchi walihudhuria, jambo lililoweka historia.
(Habari /Picha na Haruni Sanchawa/GPL)
No comments:
Post a Comment