May 26, 2012

BEYONCE’S BACK.



Mama wa mtoto mmoja anayeitwa Blue Ivy na mke wa mkali wa Hip Hop duniani Legend The man himself Jay – Z, Beyonce wikendi hii ataperform ikiwa ni show ya kwanza kwa takribani zaidi ya mwaka sasa alikuwa hajaperform kutokana na kubanwa au kupata muda wa kutosha kumlea mtoto wake Blue Ivy. Concert hiyo itakuwa huko katika jiji la Atlantic siku ambayo itakuwa ni siku ya kukumbukwa.

Wakati wa mazoezi (rehearsal) kwa ajili ya concert hiyo Beyonce alionekana bado ni noma alikwenda na beat fresh wimbo wa “Halo” na akajifunza mitindo mipya wakati wa rehearsal hiyo. Beyonce alianza rehearsal mwezi mmoja uliopita “ Da nouma aisee, naifikiria hii concert sana, nanafuraha kubwa kuwa mama, lakini sasa narudi kazini, itakuwa ngeni kidogo, ni muhimu kwamba hupotei bado unakipenda unachokipenda, nimerudi, nimerudi kazini” Alifunguka Beyonce.

No comments: