Basi la kampuni ya Muro Investment, lenye namba za usajili
Magari yakipita pembeni ya basi hilo lililokuwa likiteketea kwa moto na hapakuwa na askari wala magari ya zima moto yaliyoweza kuwahi kufika na kuzima moto huo ulioliteketeza basi hilo kabisa.
Wakazi wa Maseyu na wasafiri wakiangalia basi hilo likiteketea kwa moto.
Kwa mujibu wa mmoja wa wahusika wa basi hilo ni kwamba chanzo cha ajali ilikuwa hitilafu ya umeme iliyotokea katika gari hilo. Inadaiwa kuwa gari hilo lilipata hitilafu katika taa na walipofika mjini Morogoro walifanyia marekebisho na kuendelea na safari na walipofika maeneo hayo ya Maseyu likashika moto.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA: lost-9fm
No comments:
Post a Comment