Mar 5, 2012

BREAKING NEWZ : MADAKTARI WATAPELIWA NA SERIKALI!


Madaktari wametangaza kurudi tena kwenye mgomo,hiyo ni baada ya kikao chao kilichofanyika leo Jumamosi hii kwenye ukumbi wa Water Front,wamesema kwamba ifikapo jumatano saa mbili ahsubuhi kama serikali ikishindwa kuwasimamisha au kuwaondoa kwenye madaraka Waziri wa afya Mh Haji Mponda na katibu wake watarudi kwenye mgomo.G5click.com utaendelea kukupa habari kuhusiana na swala hili…

Madaktari wametangaza kurudi tena kwenye mgomo,hiyo ni baada ya kikao chao kilichofanyika leo Jumamosi hii kwenye ukumbi wa Water Front,wamesema kwamba ifikapo jumatano saa mbili ahsubuhi kama serikali ikishindwa kuwasimamisha au kuwaondoa kwenye madaraka Waziri wa afya Mh Haji Mponda na katibu wake watarudi kwenye mgomo.G5click.com utaendelea kukupa habari kuhusiana na swala hili

No comments: