Feb 24, 2012

BONTA ABADILI JINA, SASA NI MAARIFA

Leo hii baada ya kuachia ngoma yake inayoitwa "matusi" ameamua kuachana na jina lake aliokua nalo tangu mwaka 98 na kuanzia sasa anapenda kujulikana kama MAARIFA na si bonta tena.

No comments: