May 6, 2011

MOYO WA SUBIRA HUOOO UNASUMBUA TOP TEN ZA LOST-9FM

(LOST-9FM News)   Moyo wa subira unazidi kufanya vizuri katika top ten za lost-9fm inayorusha matangazo yake kutoka mjini kahama. Umekaa kwenye chat wiki tatu hadi sasa na ukiwa katika nafasi ya pili. akizungumzia dj lazzer5ive anasema, vijana siku hizi wanakaza sana katika game ya bongo flava. kijana mwingine anayesumbua kwa sasa ni Jux na ngoma yake ya  napata raha ikiwa imetengenezwa na producer Maneck katka studio za AM Records.

No comments: