MISS SHINYANGA 2013 ZAHARA SELEMAN ALIYEKETI AKIWA MSHINDI WA PILI KUSHOTO NA MSHINDI WA TATU KULIA.
MGENI RASMI MKUU WA WILYA YA KAHAMA BENSON MPESYA AKIWASILI UKUMBINI
MGENI RASMI AKIPOKELEWA NA MEZA KUWA.
BAADHI YA WAGENI WAKIWA NDANI YA UKUMBI
FULL SHANGWE NA WAKALI WA BARRICK
FULL SHAZI YA WATU
OCD WA WILAYA YA KAHAMA GEORGE SIMBA KUSHOTO AKIWA UKUMBINI
WAOOOOO FOM SHY TOWN PIA WALIKUWEPO KU SHOW LOVE NDANI YA KAHAMA.
FULL PEOPLE IN DA HOUSE,HAPA WAPO WA KISHAPU,BARIADI NA MASWA.
KUTOKA KUSHOTO JAMAA ANAITWA ALLY TZ WA KAHAMA FM AKIWA NA SWAIBA WAKE.
BIBI NA BWANA NAO WLIPENDEZA SANA
ILIKUWA POUWA SANA.
WAREMBO WA KAHAMA FM NAO WALIKUWEPO
VIJANA WA SHY TOWN WAKIFANYA YAO KWA STAGE
MTARIBU WA MASHINDANO YA MISS SHY ASELA MAGAKA KULIA AKIMKARIBISHA MGENI RASMI KWA AJILI YA UFUNGUZI.
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA AKIFUNGUA RASMI MASHINDANO.
BAADA YA MKUU WA WILAYA KUFUNGUA WAREMBO WAKAPANDA KWA STAGE NA SHOW YA UFUNGUZI
JAMAA WA SHY TOWN NAO WALIKUWEPO
CAMERA YANGU ILIMBAMBA MKALI B SQUARE AKISHOW LOVE NA REDDS
WAREMBO KATIKA MAVAZI YA UBUNIFU
IMAKULATA JOSEPH
ZAHARA SELEMAN
GRACE JACKSON
AISHA JUMA
ANAITWA AMINA
MWANAIDI HATIBU
SCOLASTICA SITA VAZI LIMEBUNIWA NA KIBABU WA SHINYANGA
LAURENCIA SAMWEL
HAWA RAMADHAN
ABDU KIBA AKIFANYA YAKE KWA STAGE
KISHA JUDGE DR.ATHANAS AKITANGAZA TOP TEN
KISASA ZAIDI NO MAKARATASI MAZEEEEE
WAREMBO WAKIITWA MMOJA MMOJA KATIKA TOP 10
JAMANI HAWA NDIYO WAREMBO WALIOSHIKA TOP TEN
KISHA MWANADADA LADY JAY DEE BINTI MACHOZI AKAPUNGUZA JOTO KWA KUWARUSHA WANA KAHAMA.
LADY JAY DEE AKIWARUSHA WAKAZI WA KAHAMA
LADY JAY DEE AKIWAJIBIKA KATIKA MISS SHY USIKU HUU
KWELI JOTO HASIRA MAZEEEEEEE
NA HAWA NDIYO TOP FIVE WA MISS SHY 2013
SOURCE: KIJUKUU BLOG
No comments:
Post a Comment