
katika mahojiano ya dakika kadhaa mchana huu Nikki amesema kuwa anamshukuru mungu kwa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo na kuahidi kuwa ataitumia nafasi hiyo kuwa karibu na marafaiki zake ambao siku zote wamekuwa karibu naye na kumsapoti kwa mambo mengi.
"Nitasherehekea nikiwa na marafiki zangu ambao siku zote wamekuwa karibu na mimi,zaidi natoa pongezi kwa Teentz.com kama mtandao namba moja wa burudani nchini kwa kuwa wameifanya tasnia ya muziki kuwa karibu nawatu kupata habari kwa wakati" alisema Nikki
No comments:
Post a Comment