lost-9 fm -a place to pick a story
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Jul 21, 2012
I DON'T WANT FRIENDS BY FID Q.
Mkali wa lost-9fm Ngosha the Don ameelezea utata wa ngoma yake inayosumbua vituo mbalmbali vya radio nchini SITAKI MARAFIKI kuwa alikuwa anamanisha kwamba ni wakati sasa wa kuchagua marafiki ambao watakuwa na wewe kwenye zote nyakati. ametoa mfano unapigana rafiki yako akija utashangaa anauliza tatizo kwanza kabla ya kukusaidi wakati rafiki wa kweli anafika na kukusaidia kwanza halafu chanzo baadae
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment