Pages

Jun 26, 2011

SHAGGY APOKEWA KIASILI ZAIDI ZANZIBAR



Mwanamuziki wa kimataifa Shaggy yuko visiwani Zanzibar ambako aliwasili jana na kulakiwa na wenyeji wake kiasisli zadi kwa kuvishwa taji lililotengenezwa kiasili na kufikia Zanzibar Resort ambako nako alikalishwa 'jamvini' Usiku wa kuamkia leo amefanya onesho Ziff na kukonga nyoyo za mashabiki waliofurika.

Shagy akiweka saini kitabu cha wageni huku akiwa ameketi 'chamvini'
Shagy akifurahia jambo na mwenyeji wake huku akijiandaa kunywa dafu aliloshika mkononi
...akimsikiliza Meneja Masoko wa bia ya Tusker (kulia) huku Mkurugezi wa ZIFF,  Martin Muhando akisikiliza.
....akinywa dafu kwa mrija.
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, ambao pia ndiyo waratibu wa ziara ya Shagy nchini, akiwa kasimama wakatika Shagy (hayupo pichani) akiongea na wanahabari mjini Zanzibar jana.

No comments:

Post a Comment