Pages

Jun 22, 2011

KWA MARA YA KWANZA "SHAGGY" NDANI YA FIESTA KWENYE JIJI LA MIAMBA MAARUF KWA JINA LA ROCK CITY


Hatimae kile kilichokuwa kina subiriwa kwa hamu kubwa ndio kimekuja SERENGETI FIESTA 2011 MSIMU WA DHAHABU UNAOENDELEA ndio huu hapa umewadia wakazi wa Mwanza na maeneo ya jirani mambo ya mzee mzima SHAGGY KUTUMBUIZA ndani ya uwanja wa CCM Kirumba akiongozwa na mwana Hip Hop na mwenyeji wa Mwanza FID Q kwa kifupi sitaki kukuchosha na mengi hii ni safu ...nzima ya wanamuziki watakao tawala jukwaa la FIESTA 2011 KATIKA MSIMU WA DHAHABU UNAOENDELEA NDANI YA MWANZA ikimbukwe kuwa hii ni mara ya kwanza kwa SHAGGY KUWA Mwanza lakini kwakuja bongo ni mara ya TATU. so usikose hii mkazi wa Mwanza na maeneo ya jirani.

No comments:

Post a Comment