Pages

Jun 21, 2011

HII NDIO LIST YA WASANII WATAKAO PERFORM FIESTA MWANZA



Leo hii imetangazwa safu ya wasanii watakao perform siku ya tarehe 26 june ikiwa ni fiesta ya kwanza kwa mwaka 2011ndani ya ccm kirumba mwanza ambao ni Shaggy, god zilla, matuluma, sajna, alikiba, mataluma, mwana fa, mwasiti, dully, nature, barnaba, chris wa marya, recho, makomandoo, lina

No comments:

Post a Comment